VIDEO: Matapeli watano wa mtandao wakamatwa ''wazee wa tuma kwenye namba hii''
Jeshi la polisi mkoani kagera linawashikilia watuhumiwa watano kwa kosa la kujihusisha na vitendo vya utapeli na wizi kwa njia ya mtandao ambapo baada ya kupekuliwa wamekutwa na nyaraka zenye orodha ya majina ya watumishi wa serikali waliostaafu kazi kutoka idara mbalimbali zaserikali zikionyesha taarifa za mtumishi husika.
TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI....USISAHAU KUSUBSCRIBE
Comments
Post a Comment