TUNAUZA VIWANJA VIPO KIBAHA, BEI YA KUTUPA
Tunauza Viwanja vilivyopimwa, vipo Kibaha Bokomnemela Piga simu kwa maelezo zaidi 0752 225 226
Sifa za Viwanja:
1. Vina ukubwa wa kuanzia sqm 400
2. Vipo 8km kutoka Maili Moja, Morogoro Rd
3. Vipo 2km kutoka stesheni ya treni ya Soga (Soga SGR Station)
4. Kuna mashule, hospitali, barabara, umeme, maji na huduma zote za kijamii
5. Bei TZS 5000/sqm (kwa malipo ya mara moja)
6. Bei TZS 6000/sqm (kwa malipo ya awali mpaka miezi 6)
7. Wanunuzi watapatiwa Hati Miliki
Fursa inakungoja
Comments
Post a Comment