Indonesia: Volcano ya Semeru yalipuka, maelfu ya watu wakimbia makazi yao


Colcano ya Semeru imelipuka n akusababisha raia kupatwa na hofu kubwa huku wengine wakilazimika kuyatoroka makaai yao, nchini Indonesia. Volcano hiyo inapatikana katika Java Mashariki, kisiwa chenye watu wengi zaidi nchini Indonesia.


Hii ni mara ya pili kwa volcano hii kulipuka ndani ya mwaka mmoja tu. Maelfu ya watu wamekimbia makazi yao, vijiji vizima vinatishiwa.


Wingu la majivu ya volcano ya Semeru linaendelea kuongezeka angani. Wimbi la matope hatari linaelekea vijijini. Hata daraja liliharibiwa na moto. Huduma za dharura zinaendelea na uokoaji.




Comments

Popular posts from this blog

NINATIBU KISUKARI, PRESHA, TEZIDUME, NGIRI NA NGUVU ZA KIUME

Uchaguzi wa rais nchini Libya uko mashakani

Mambo 8 yanayosababisha Gari kuwaka Moto na Jinsi ya kuyaepuka