Chanjo za Pfizer na Moderna zinatoa kinga zaidi, matokeo ya majaribio ya Uingereza


Pfizer na Moderna zinazotumiwa nchini Uingereza kama chanjo za nyongeza zinatoa kinga bora zaidi kwa jumla, kulingana na majaribio saba tofauti yaliyofanywa na Uingereza.


Jaribio hilo ni utafiti wa kwanza wa jinsi chanjo ya nyongeza ya Covid inavyofanya kazi vizuri na kuhalalisha uamuzi wa mapema wa Uingereza kutumia chanjo hizi mbili kwa nyongeza.


Chanjo zote zilizojaribiwa ziliongeza kinga dhidi ya Covid kwa kiwango fulani.


Watafiti walisema kulikuwa na ishara zinazoashiria kwamba chanjo hizo za nyongeza zingelitoa uli


Kufanya usambazaji wa chanjo kwenda mbali zaidi, hata kipimo cha nusu cha Pfizer kinaweza kutumika kuongeza idadi ya watu, waliongeza.Matokeo ya majaribio yanayofikiriwa kuifanya Uingereza kuagiza dozi zaidi ya milioni 114 za chanjo ya Pfizer na Moderna kutekelezwa katika kipindi cha miaka miwili ijayo.


nzi dhidi ya magonjwa na kifo kutoka kwa Omicron.


Chanjo za nyongeza zinaweza kupunguza hatari ya kuambukizwa virusi kwa zaidi ya 93%.


Watu wazima wote walio na umri wa zaidi ya miaka 18 nchini Uingereza wanashinikizwa kupewa chanjo ya nyongeza - Pfizer au Moderna - huku wanasayansi wakipata maelezo zaidi kuhusu kirusi kipya cha Omicron.



Comments

Popular posts from this blog

NINATIBU KISUKARI, PRESHA, TEZIDUME, NGIRI NA NGUVU ZA KIUME

Uchaguzi wa rais nchini Libya uko mashakani

Mambo 8 yanayosababisha Gari kuwaka Moto na Jinsi ya kuyaepuka