ROYAL TRAINING INSTITUTE INATANGAZA NAFASI ZA MASOMO

      


Chuo cha Mafunzo cha Royal Training Institute kwa kushirikiana Na Mamlaka ya Elimu ya ufundi (VETA) kingependa kuwajulisha wahitimu wa kidato cha nne  kwamba Chuo kinatoa kozi ya msaidizi wa maabara (Certificate in Laboratory Assistants) ngazi ya 1, 2 na 3.  Uwe umemaliza kidato Cha nne na kupata cheti TU.


Chuo Kipo Temeke Jijini Dar es salaam karibia na Uwanja wa kisasa wa Mpira wa Azam na Muhula wa masomo ni mwezi Januari na Julai Mwaka 2022. 


Usajili umeshaanza na Unaendelea Chuoni Royal Training Institute. 


Wahitimu watafanya kazi kwenye mashule, vyuo, viwanda na taasisi mbalimbali. Chuo pia kinatoa punguzo kwa wanafunzi wake na kuwasaidia kupata kazi wahitimu wake.


Pia chuo Cha Royal Institute kinatoa kozi zingine zifuatazo.. 

1. Pharmacy (Ufamasia) kwa ngazi ya Diploma NACTE, Muhula wa mwezi september 2022

2. Computer Application (Januari 2021)

3. Computer Maintenance and Repair (Januari 2021) 


Kwa Maelezo zaidi wasiliana na chuo Cha Royal kwa namba 0713353310 / 0762600481 / 0692972523 au 0789927665. 


Au kwa barua pepe royaltraininginstitute@yahoo.com au tembelea tovuti yetu ya WWW.RTI.AC.TZ


KUMBUKA KUNA PUNGUZO ZA GHARAMA ZA HOSTELI KWA WALE WATAKAOWAHI NA CHUO KITAGHARAMIKIA USAFILI WA KUJA CHUONI KWA WALE WOTE WATOKAO MIKOANI.












Comments

Popular posts from this blog

NINATIBU KISUKARI, PRESHA, TEZIDUME, NGIRI NA NGUVU ZA KIUME

Uchaguzi wa rais nchini Libya uko mashakani

Mambo 8 yanayosababisha Gari kuwaka Moto na Jinsi ya kuyaepuka