Kunani Wasafi... Mtangazaji Maulide Kitenge Awakimbia...Wasafi FM Waandika Haya

 

Kwa Dhati Kabisa Tunatoa Shukrani za Dhati kwa mchango wako mkubwa Katika taasisi yetu ya #WasafiMedia kwa kuwa nasi bega kwa bega kuanzia Media changa mpaka leo imekuwa Media Namba Moja Nchini

Mbali ya ushiriki wako kwenye Media umetufundisha mengi na kutuonesha njia nzuri zaidi ili kutimiza Malengo ya WASAFI MEDIA kuwa chombo kikubwa cha Habari Africa na kulipa Heshima Taifa letu...🇹🇿 @mauldikitenge #KochaMchezaji #Kwaheri #AsanteTunashukuru

Comments

Popular posts from this blog

NINATIBU KISUKARI, PRESHA, TEZIDUME, NGIRI NA NGUVU ZA KIUME

Uchaguzi wa rais nchini Libya uko mashakani

Mambo 8 yanayosababisha Gari kuwaka Moto na Jinsi ya kuyaepuka